}

HIVI NDIVYO JENGO LA KITUO CHA REDIO LILIVYOTEKETEA KWA MOTO MKOANI LINDI.

Na. Geofrey Jacka.

Picha.
Baadhi ya Wakazi wa Lindi Mjini wakishuhudia Moto ukiteketeza Jengo ilipo redio Mashujaa FM ya mkoani Humo.

Jengo zilimo ofisi za Jeshi la Magereza na kituo cha Redio Mashujaa FM likiendelea kuteketea kwa Moto.

Askari wa Jeshi la Magereza wakiwa mbele ya Gari la Zimamoto lililofika kwa shughuli za Kuzima moto.

Muonekano wa Jengo baada ya Kuungua kwa Moto.

Muonekano wa Jengo baada yakuungua kwa Moto.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.