}

Schneiderlin, Depay na Shweinsteriger, ruksa kuondoka United.

Na. Anaseli Stanley Macha. 

kocha wa manchester united jose morinho amesema yuko tayari kuwaacha mchezaji yeyote atakae kuwa tayari kuondoka endapo klabu itapokea ofa nzuri juu ya uhamisho wa mchezaji  huyo .

Morgan Schneiderlin, Memphis Depay na Bastian Schweinsteiger wamekuwa na wakati mgumu sana tangu kocha mreno huyo kuuanza kuifundisha manchester united ambapo mpaka sasa wanatafuta namba katika kikosi cha kwanza cha kocha huyo pasipo na mafanikio..


"nitamruhusu mchezaji yeyeote aaneyetaka kuondoka  united kama nitapokea ofa nzuri na sitojali atakapoenda hata kama atabaki kuwa wapinzani katika ligi kuu ya uingereza"alisema mourinho
"siku zote niko tayari kusikiliza ofa juu ya mchezaji yeyote,mbali na kusikiliza ofa hiyo pia niko tayari kuwasiliza na wachezaji wenyewe."
"Kwhiyo mchezaji yeyote atakayekuja kugonga mlango wangu na kuonesha hana furaha na anahitaji kuondoka na kuna ofa sitamzuia mchezaji huyo hata kama anaenda kwa wapinzani wetu."alisema mourinho

Mourinho pia amemtumia ujumbe beki wa timu ya taifa ya uingereza na klabu ya manchester united Luke Shaw ambapo amemwabia aongeze kiwango chake mapema tu atakaporudi kutoka katika majeruhi

Shaw alianza kwenye mechi sita tu za ligi msimu huu na amekosa michezo sita tangu aumie katika mchezo dhidi ya Crystal Palace na nafasi yake kuchukuliwa na muitaliano Matteo 

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.