}

Tazama ziara ya Waziri Mbarawa jijini Mwanza.

Na. Geofrey Donatus Jacka.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amewasili mjini Mwanza Leo hii katika shughuli zakikazi.

Katika ziara hiyo jijini Mwanza Mh. Mbarawa atakagua ujenzi wa jengo la abiria kiwanja cha Mza, barabara ya Airport-pasiansi, ziara ambayo itamchukua siku mbili jijini humo.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.