}

SIMBA YAENDELEA NA MAZOEZI KUIKABILI MBEYA CITY KESHO

Wakati watani wao wa jadi Yanga wakienda sare dhidi ya Singida United leo, Simba  imefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City FC kesho.

Kikosi hicho cha Simba kinajifua kwenye Uwanja wa Boko Veterani uliopo jijini Dar es Salaam leo asubuhi na jioni.

Katika mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar, Simba iliwakosa wachezaji Juuko Murushid, James Kotei na Erasto Nyoni ambao walikuwa wanatumikia adhabu ya kadi 3 za njano kwa kila mmoja.

Tayari wachezaji hao wameshamaliza adhabu hiyo na kesho watakuwa sehemu ya kikosi cha Simba.

Mechi hiyo dhidi ya Mbeya City itapigwa Uwanja a sarewa Taifa jijini Dar es Salaam


Endapo simba atashinda kesho ataongeza alama tatu na kuwa na alama nane dhidi ya yanga

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.