}

NG'OMBE NDIYE MNYAMA ANAEAMINIKA KUWA MTAKATIFU KWA WAHINDU.

Mahakama moja India imewahukumu kifungo cha maisha jela watu 11 kwa kumuua muuzaji nyama Muislamu kwa jila la Alimuddin Ansari, Juni 2017, waliemshuku kwa kusafirisha nyama ya ng'ombe.

Ni hukumu ya kwanza kuhusiana na kile kinachofahamika kama ulinzi wa jadi wa ng'ombe. Limetajwa kuwa ni moja kati ya mashambulio kadhaa yanayohusiana na ng'ombe, mnyama anayeaminika kuwa nimtakatifu kwa Wahindu.

Chanzo-DW

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.