}

YANGA KUWAKOSA CHIRWA NA YONDANI MECHI DHIDI YA MBAO FC MWANZA

Kuelekea katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara ambao yanga atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Mbao Fc, Yanga itwakosa wachezaji wake wawili nyota na mwingione ambye huyko hati hati kucheza katika mchezo huo kwa sababu mbalimbali

Yanga itamkosa mchezaji Obrey Chola Chirwa ambaye yuko nchini kwao zambia ambapo Uongozi wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, umesema mshambuliaji wake, Obrey Chirwa atareja nchini siku yoyote baada ya kwisha kwa msiba wa mtoto wa Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina.

Chirwa aliondoka nchini baada ya kuomba ruhusa kurejea kwao Zambia kwa masuala ya kifamilia. Lakini baadaye akagoma kurejea nchini akitaka kumaliziwa fedha zake za usajili.

Hata hivyo kumekuwa na taarifa kwamba, uongozi wa Yanga umemalizana naye kwa kumpatia kiasi cha fedha zake za usajili na umekubaliana naye kurejea haraka.

Lakini pia Yanga kuelekea katika mchezo wao dhidi ya Mbao fc itamkosa beki kisiki Kelevi Yondani ambeae anakabili wa na majeraha 

mchezaji Mwine ambe bado yupo kwenye hatihati ni Thabani Kamusoko ambaye bado hali yake haijatengemaa vizuri kuitmuikia klabu hiyo kutuokana na majeruhi aliyonayo.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.