}

TAMKO LA BARAZA LA HABARI TANZANIA KUFUATIA KUPIGWA FAINI VITUO VITANO VYA LUNINGA.

Baraza la habari nchini Tanzania MCT, linajipanga kutafuta ufafanuzi wa kisheria mahakamani wa tafsiri ya makosa ya uchochezi.

Hatua hiyo inakuja kufuatia ongezeko la adhabu kwa vyombo vya habari nchini humo ikiwemo faini, kufungiwa na kukemewa, ambapo hii leo mamlaka ya mawasiliano TCRA imevipiga faini vituo vitano vya utangazaji kwa madai ya kurusha habari ya uchochezi.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.