}

UNICEF LIMESEMA 2017 ULIKUWA NI MWAKA MBAYA KWA WATOTO MAENEO YA VITA.

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto UNICEF, limesema mwaka 2017 ulikuwa miongoni mwa Miaka mibaya zaidi kwa watoto wanaoishi katika maeneo ya vita na mizozo duniani kwani wengine walitumika kama ngao vitani, washambuliaji wa kujitoa muhanga au kulengwa kwa kiwango cha juu.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.