}

RAMAPHOSA ATABILIWA KUMRITHI ZUMA AFRIKA KISINI.

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma inawezekana asimalize muhula wake wa mwisho madarakani baada ya chama cha ANC kumchagua Cyril Ramaphosa kama kiongozi wake mkuu.

Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, Ramaphosa alikua rafiki wa karibu wa Zuma na hata msaidizi wake lakini uhusiano wao umekua wa mashaka siku za karibuni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2019.

Ramaphosa anasema atapambana na rushwa jambo ambalo kwa rais Zuma limekua kama mzigo.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.