}

MZUNGUUKO WA PILI WA AZAM SPORTS FEDERATION KUANZA KESHO JUMATANO.

Na.Anaseli Stanley Macha
HATUA ya Pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), inaanza rasmi kesho Jumatano Desemba 20, 2017 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti.
Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania Afred Lucas pia ameweka bayana juu ya michuano ya kombe la FA ambapo Mchezo kati ya Simba na Green Warriors utaochezwa Desemba 22, utakuwa ni maalumu kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa michuano hiyo msimu. 

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), michezo ya kesho Desemba 20, mwaka huu itakutanisha timu za 
JKT Mlale ya Songea vs KMC ya Kinondoni
Toto African ya Mwanza vs Eleven Stars ya Kagera 
Ambassador ya Kahama vs JKT Oljoro ya Manyara
Boma FC ya Mbeya vs Ndanda ya Mtwara
Mvuvumwa ya Kigoma vs JKT Ruvu ya Dar es Salaam; 
Abajalo ya Dar es Salaam vs Tanzania Prisons ya Mbeya 
Milambo ya Tabora vs Buseresere ya Geita.

Desemba 21, 2017 
Mshikamano ya Dar es Salaam vs Polisi Tanzania ya Morogoro
Rhino ya Tabora vs Alliance ya Mwanza
Majimaji Rangeres ya Lindi vs Mbeya Kwanza ya Mbeya
Njombe Mji vs Mji Mkuu ya Dodoma
Ashanti vs Friends Rangers za Dar es Salaam
Kagera Sugar vs Makambako 
Stand United ya Shinyanga vs AFC ya Arusha.

Desemba 22, 
Green Warriors vs Simba
Polisi Dar vs Mgambo JKT ya Tanga
Kariakoo ya Lindi vs Transit Camp ya Dar ila kwa sasa imeweka maskani Shinyanga
Biashara ya Mara vs Mawenzi Market ya Morogoro
Ruvu Shooting ya Mlandizi vs Madini FC ya jijini Arusha 
Mufindi United vs Pamba ya Mwanza 
Singida United vs Bodaboda FC.

 Desemba 23, 
 Azam FC vs Area C
African Lyon ya Dar es Salaam vs Kiluvya United ya Pwani
Makanyagio vs Mbao
Mwadui vs Pepsi
Majimaji vs New Generation 
Mbeya City vs Ihefu.

Desemba 24, 2017 
Yanga SC vs Reha FC
 Burkina ya Morogoro vs Lipuli ya Iringa
 Coastal Union ya Tanga vs Dodoma Fc ya Dodoma
 Shupavu vs Real Mojamoja 
 Villa Squad vs Mtibwa Sugar ya Morogoro.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.