}

MKUU WA MAJESHI ALIYEONGOZA MAPINDUZI YA MUGABE ATABIRIWA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS.

Serikali ya zimbabwe imesema mkuu wa majeshi ya ulinzi Constantino Chiwenga, alieongoza mapinduzi yaliohitimisha utawala wa miaka 37 wa rais Robert Mugabe mwezi uliopita, anajiandaa kustafu, na hivyo kusafisha njia ya uteuzi wake uliotabiriwa na wengi katika nafasi ya makamu wa rais.

Kamanda wa jeshi Philip Sibanda atamrithi Chiwenga katika nafasi ya mkuu wa vikosi vya ulinzi, kwa mujibu wa taarifa ya serikali.

Chanzo-DW

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.