}

KELVIN YONDAN KUIKOSA GEMU YA RWANDA.

Beki wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ Kelvin Yondani ataukosa mchezo dhidi ya Rwanda utakaofanyika kesho Jumamosi Desemba 9, 2017 kwenye Uwanja wa Kenyatta, Machakos Kenya.
Yondani amepewa mapumziko ya siku tatu baada ya kupata majeraha ya kifundo cha mguu kwenye mchezo wa jana dhidi ya Zanzibar.
Kwaupande wake mchezaji Mbaraka Yusuph anaendelea vizuri banda yakuumia misuli Katika mechi na Libya. 

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.