}

YANGA VS SIMBA MILANGO KUFUNGULIWA SAA MBILI ASUBUHI

kuelekea pambano la watani wa jadi Yanga na Simba Shirikisho la mpira Tanzania TFF limesema milango ya uwanja wa uhuru itakuwa wazi kuanzi majira ya saa mbili asubuhi.

Afisa habari wa shirikisho hilo Alfred Lucas amesema milango hiyo itafunguliwa mapema ili kuwapa mashabiki nafasi ya kuingia uwanjani mapema na kuondoa usumbufu wa milangoni wakati wa kuingi.

Aidha Lucas amesema kila kitu kinaedelea vizuri na ikumbukwe tu tiketi za mchezo huo ziotauzwa mapaka hapo kesho na siku ya mchezo hakutakuwa na tiketi yoyotea itakayouzwa.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.