}

CITY TUPO TAYARI KUWAUWA AZAM

Uongozi wa klabu ya mbeya city umesema umejipanga kuelekea katika mchezo wao dhidi ya Azam mchezo utakaopigwa hapo kesho katika uwanja wa chamazi jijini Dar es salaam.

Shaha Mjanja afisa habari wa klabu hiyo amasema kikosi choa kimewasili jijini dar es salaam Tangui jana na wameendelea na mazoezi ya mwishomwisho kwa ajili ya kuhakikisha hapoa kesho wanapata matokeo mazuri.

Majanja masema mbeya city inalengo la kutwaa ubigwa msimu huu hivyo mchezo huo utakuwa mzuri kwao na wana kila sababu ya kupata ushindi.

kikosi hicho kinajivunia zaidi kuwepo kwa vijana wenye uwezo mkubwa wa kupambana na kupata matokeo pia wana kocha Bora wa kimataifa na hawaoni sababu ya wao kupoteza katika mchezo yao yote iliyobaki.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.