}

Tulia Akson; Sikuridhishwa na Idadi ya wadau shindano la Traditional dance festival.

Mkurugenzi wa taasisi ya Tulia trust na naibu speaker wa Bunge Dk.Tulia Anson.
Mkurugenzi wa taasisi ya Tulia Trust na naibu speaker Dkt, Tulia Ackson hajafurahishwa na idadi ya wadau katika mashindano ya Tulia traditional dance festival 2017.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akitoa shukrani kwa wadau, Dkt Tulia amesema changamoto iliyopo ni idadi ndogo ya wadau iliyojitokeza katika mashndano yaliyopita na amewaomba wanau wengi wajitokeze katika shindano lingine ambalo litafanyika hapo mwakani. 

Aidha amewaomba maafisa sana na utamaduni wote nchini kujiandaa kwajili ya kufanya mchujo mapema ili kurahisisha mashindano yatakayo fanyika Tukuyu jijini Mbeya

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.