}

LIGI YA VYUO BEACH SOKA KUANZA KUTIMUA VUMBI MWEZI UJAO

Ligi ya vyuo kwa mchezo wa beaach soka unatarajiwa kuanza  mwezi ujao ambapo vyou hamisi vimealikwa kujisajili ili kushiriki ligi hiyo ambayo itatimua vumbi katika viwanja vya karume.

Akizungumza na waandishi wa habari Deo lucas mratibu beach soka kutoka Tff amesema fomu za kujisajili zinapatika katika viunga vya tff hivyo ni vyema kama vyuo kinahitaji kinaweaza kuchukua fomu hiyo mapema.

Aidha Lucas amesema ligi ya vilabu  kwa mchezo wa beach soka inatrajiwa kuanza mwezi wa kumi na mbili mwaka huu ambapo amevitangazia vilabu vya mtani kuwa fomu za kuthibitisha kushiriki zinapatika katika viunga hivyo vya Tff.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.