}

Kikosi cha timu ya Simba kimerejea Dar tayari kuwavaa Yanga.


Kikosi cha Timu ya Simba Sc (Picha kutoka-Maktaba.)

Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba kimerejea jijini Dar es Salaam leo kwa maandalizi ya mwisho ya mechi yao ya kesho dhidi ya Yanga.

Simba walikuwa kambini mjini Zanzibar kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya simba Haji Sunday Manara amesema kwamba kambi imeenda vizuri huko visiwani zanziba na wanaamini watapata matokeoa bora katika mchezo wa hapo kesho.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.