}

Simba vs Yanga ulinzi wake balaa.

Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam SACP Mambosasa

Jeshi lam polisi limesema kuwa limejiaandaa vyema katika kuhakikisha usalama unakuwepo katika mchezo wa hapo kesho ambapo wenyeji yanga watakapowakaribisha wekundu wa msimbazi simba katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.

kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema kikosi cha ulinzi kiko tayari hivy ni vyema mashabiki kufuata sheria 
Aidha Mambosasaa amesema  mashabiki watakaguliwa kabla ya kuingia uwanja ili kuhakikisha kila anae ingia hataikuwa na silaha ya aina yoyote . 
Hata hivyo amewataka mashabiki kuwahi uwanjani kwani milango itafunguliwa mapema.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.