}

KARIA;WANAOTUMIA AKAUNTI HII YA TWEETER HAWANA MALENGO MAZURI NA TFF

Kuna Akaunti mpya wa Twitter inazunguka katika mitandao ya kijamii.
Akaunti hiyo yenye jina la Rais wa Shirikisho lAMpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeanza kutoa taarifa mbalimbali na kuchangia maoni kunakoelezwa kufanywa na Wallace Karia.
TFF tunatangaza kuwa hatuitambui akaunti hiyo. Rais Karia hajafungua akaunti ya Twitter.
Tunaomba wananchi wote hususani wanafamilia wa mpira wa miguu, kutoitambua akaunti hiyo kwa sababu si ridhaa ya Rais Karia wala Kitengo cha Habari TFF kilichofungua akaunti hiyo.
Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.