}

Tanzania yapangwa na Uganda kufuzu Afcon 2019


Shirikisho La Soka barani Africa tayari limekwisha panga makundi ya hatua ya kuawania kufuzu kuchecha kombe la Afcon mwaka 2019 ambapo Tanzania imepangwa katika kundi L ikiwa na timu za uganda na lesotho

Pamoja na kuwepo katika kundi hilo bado kunaoneka nafasi kwa timu ya taifa ya Tanzaia kuwa ngumu kuweza kufuzu Na kusonga mbele katika hatua inayofuata kutoka na na kila timu katika kundi hilo kuonekana ya kwamba zinauchu wa kushiriki michuano hiyo.

Tanzania ipo na Uganda ambayo mwaka huu ndio timu pekee inayowakilisha timu za Afrika mashariki ,pia ni timu ambayo inawachezaji wengi ambao wanauwezo mzuri ukiringanisha na Tanzania Hivyo kuifunga Uganda kunahitaji Nguvu ya ziada sana kutokana na namna àmbavyo kikosi cha tanzania kinavyo andaliwa

Pili Tanzania itakiwa kuifunga Cape verde ambao hawa nao si watu wa kubeza.ingawa wana mda mchache hawakucheza michuano hii hivyo watakuja n nguvu kubwa na wachezaji walionao ambao wanacheza soka la kulipwa huko ulaya itakuwa ngumu sana kwa watanzania kupata ushindi katika mchezo ambao utawakutanisha

Tatu Tanzania itakutana lesotho ambayo ambayo kwa upande wao nao wanaiangali tanzania kama ndio timu pekee ambayo wanalingana ubavu hivyonayo itahitaji matokeo kwa tanzania katika mchezo huo


Hakika Tanzania kama haitakuwa makini katika michezo yake basi sitashangaa kuona ikiishia nafasi ya tatu katika kundi hill na hata ikikosa nafasi ya kuwa best looser .


No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.