}

PAYET HATIHATI KUCHEZA WEST HAM


Mchezaji wa timu ya taifa ufaransa pamoja na klabu ya west united Dimitri Payet amekataa kuendelea kuvheza na kikosi cha west ham


Kocha wa west ham united Slaven Bilic  amesema payet amkekataa kucheza ndani ya kikosi hicho ambapo ameonesha nia ya kutaka kuihama klabu hiyo

Bilic amesema kwamba kwa upande wao hawatakuwa tayari kumuachia mchezaji huyo kutokana na kumwona kuwa ndio mchezaji wao bora ndani ya kikosi hicho

"Pamoja na kwamba kuna ofa  kutoka klabu moja ya nchini ufaransa ya £19m nitamwambia mwenyekiti wa klabu asikubali kumuuza mchezaji na badala yake ataendelea kuwepo ndani ya kikosi japo hatopata nafasi ya kucheza mpka atakapotengeneza nidhamu yake"alisema bilic




Dimitri alimwambia kocha wake kuwa hataki kuendelea kucheza Ndani ya kikosi hicho akiwa na maana anatahitaji kuondoka lakini kocha amekataa kubaki ndani ya kikosi hicho

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.