}

Magufuli apiga marufuku kuwafukuza wamachinga Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri na katibu Mkuu katika ofisi ya Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) kusitisha maramoja utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa wafanya biashara wadogo  maarufu kama machinga katika jiji la Mwanza mpaka hapo mamlaka husika itakapokamilisha maandalizi ya eneo watakapohamishiwa.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.