}

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOWAVAA TOWNSHIP ROLLERS HUKO BOSTWANA


Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea mjini Gaborone, Bostwana, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollars.

Jumla ya wachezaji 20 na viongozi 11 wamesafiri kuelekea nchini Bostwana ambapo mechi dhidi ya Township Rollers itachezwa Jumamosi ya Machi 17 2018.

Katika msafara huo, Papy Tshishimbi amejumuishwa baada ya kupumzishwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu jana dhidi ya Stand United.

Tshishumbi alikosekana pia kwenye mchezo kabla ya Stand United, ikiwa ni dhidi ya Kagera Sugar, kutokana na majeruhi yalikuwa yanamsumbua.

Wachezaji walioondoka ni

1. Youthe Rostand 
2. Ramadhani Kabwili
3. Juma Abdul 
4. Kelvin Yondani
5. Juma Saidi
6. Nadir Haroub
7. Pato Ngonyani
8. Obrey Chirwa
9. Papy Tshishimbi
10. Juma Mahadhi
11. Geophrey Mwashiuya
12. Gadiel Michael
13. Pius Buswita
14. Raphael Daudi
15. Ibrahim Ajibu
16. Haji Mwinyi
17. Yusufu Mhilu
18. Saidi Mussa
19. Thabani Kamusoko
20. Emanuel Martin

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.