}

KIKOSI CHA UINGEREZA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA


kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza  ametangaza kikosi kitakacho kwenda katika michuano ya kombe la dunia nchini Urusi mwaka huu

Vingo Jack Wilshere na Adam Lalana ambao wamerejea kutoka katika majeruhi wameitwa katika kikosi hicho 

lakini pia mshambuliaji wa Arsenal Welbeck nae ameitwa  kuwa kama chaguo lingine la mshambuliaji Jamie Vardy

KIKOSI 

Golikipa
Joe Hart
Jack Butland
Jordan Pickford
Nick Pope

WALINZI
Ryan Bertrand
Danny Rose
Harry Manguire
John Stone
Joe Gomez
James Tarkowski
Alfie Mawson
Kyle Walker
Kieran Trippier

VIUNGO
Ashley Young
Eric Dier
Lewis Cook
Jake Livermore
Jordan Hunderson
Jack Wilshere
Adam Lalana
Alex Oxalde Chamberlain

WASHAMBULIAJI
Raheem Sterlin
Marcus Rashford
Jesse Lingard
Dele Alli
Danny Welbeck
na Jamie Vardy

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.