}

MWIGULU, KIKWETE NA WADAU WA SOKA WENGINE WAKAMILISHA SAFARI YA ATHUMANI JUMA CHAMA








Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na waziri wa mambo ya nje Mwigul Nchema wameshriki mazishi ya aliyekuwa mchezaji wa zamani wa klabu ya Pamba na Yanga Athumani Juma Chama Jagoo katika makaburi ya kisutu jijini Dar es salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari katika mazishi hayo waziri wa mambo ya nje Mwigulu Nchema Amesema vijana wa sasa wanamichezo kuiga yale mema ambayo aliyafanya mchezaji Athumani Chama.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.