}

KIKOSI CHA YANGA HIKI HAPO


Mda mchache kutoka sasa katika uwanja wa Azam chamzi Complex , Azama fc watawakaribisha mabingwa watetezi Yanga katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara 

Yanga itawakosa baadhi ya wachezaji wake muhimu katika kkikosi hicho ambao wanasumbuliwa na majereha mbalimbali

Na pia huenda ikawakosa makocha wao Geogre Lwandamina ambae inadai kukosa vibali vya kufanya kazi hapa nchini na Kocha msaidizi Shadrack Nsajigwa ambaye amepatwa na msiba wa shemeji yake.


No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.