}

UKOMO WA URAIS WAZUA BALAA, WABUNGE 6 WASIMAMISHWA KUHUDHURIA VIKAO 7 VYA KUJADILI SUALA HILO.

Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga amewasimamisha wabunge 6 kutohudhuria vikao saba vya bunge akiwatuhumu kwa utovu wa nidhamu.

Ni wakati bunge likijiandaa kujadili muswada wa kuondoa ukomo wa umri wa rais katika katiba ya nchi.

Kusimamishwa kwa wabunge hao kunadidimiza matumaini ya upinzani kuzuwia marekebisho ya katiba, yanayonuwia kurefusha muda wa utawala wa rais Yoweri Museveni uliodumu kwa zaidi ya miaka 30.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.