}

RAIS MAGUFULI AWATANGAZIA VITA WASANII WAKIKE KWENYE UVAAJI.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitaka wizara ya habari, utamaduni sanaa na michezo na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kuvikemea vitendo vinavyo kiuka maadili ya kitanzania hasa kwa wanamziki wa kike. 

Akizungumza katika mkutano mkuu wa tisa wa jumuhia ya umoja wa wazazi Tanzania Magufuli ameitaka wizara ya habari na TCRA kuchukua hatua stahiki za kudhibiti mmomonyoko wa maadili hasa kwenye uvaji na uchezaji wa wanamziki wa kike.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.