}

OMOG AANZA KAZI TENA MSIMBAZI

Kocha Mkuu wa klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Joseph Omog amerejea na kuanza majukumu yake ya kukinoa kikosi cha Simba ambacho kimeanza mazoezi ya kujiandaa na michuano mbalimbali katika viwanja vya chuo cha ufundi cha jeshi kurasini jijini dar es salaam

Omog alipata mapumziko mafupi ambapo alienda kwao nchini Cameroon na kukabidhi majukumu yake kwa msaidizi wake kocha Masoud Djuma 

Lakini leo, Omog ameendelea kukinoa kikosi chake katika Uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es Salaam

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.