}

FA CUP KUTIMUA VUMBI TENA LEO SAA CHACHE ZIJAZO

Wachezaji wa Ashanti united
Kombe la shirikisho leo linatarajiwa kuendelea kwa michezo mbalimbali kupigwa katika viwanja tofauti 

Ratiba nzima ya michezo ambayo itaunguruma hii leo ni 

Mshikamano ya Dar es Salaam vs Polisi Tanzania ya Morogoro

Rhino ya Tabora vs Alliance ya Mwanza

Majimaji Rangeres ya Lindi vs Mbeya Kwanza ya Mbeya

Njombe Mji vs Mji Mkuu ya Dodoma

Ashanti vs Friends Rangers za Dar es Salaam

Kagera Sugar vs Makambako 

Stand United ya Shinyanga vs AFC ya Arusha.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.