}

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA STELLA MANYANYA ATOA ANGALIZO WAWEKEZAJI WASIOFUATA SHERIA.

Naibu waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji Injinia Stela Manyanya amesema kuwa serikali haitamvumilia mwekezaji yeyote atakae kwenda kinyume na taratibu za kudhibiti ushindani hapa nchini.

Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya ushindani Duniani injinia Manyanya amesema wawekezaji wanatakiwa kufuata sheria za taratibu za ukezaji na kuwaonja baadhi ya watumishi wa serikali ambao hushirikiana na wawekezaji wasio waaminifu kukiuka sheria hataua kali zitachukuliwa dhidi yao.

Madhinisho ya siku ya ushindani duniani hufanyika kila ifikapo desemba 5 ambapo kauli mbui mwaka huu inasema Umuhimu wa ushindani katika maendeelo ya uchumi wa viwanda Tanzania.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.