}

MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI ASILIMIA 51 YAWAKUMBA VIJANA KENYA.

Leo ni siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya Ukimwi inayoadhimishwa kote ulimwenguni.

Juhudi za kupambana na Ukimwi nchini Kenya zimechukua mkondo mpya baada ya takwimu rasmi kuweka bayana kuwa asilimia 51 ya maambukizi mapya yanatokea miongoni mwa vijana walio na umri wa miaka 15-24. 

Inasadikika hofu ya kupimwa na tabia za kufanya mapenzi kiholela ni baadhi ya vyanzo vya maambukizi mapya miongoni mwa vijana. Je kipi zaidi kinaweza kusaidia kupunguza maambukizi hayo mapya ya ugonjwa wa ukimwi?

Chanzo-DW

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.