}

DROO MICHUANO YA KOMBE LA FA KUPANGWA RASMI KESHO.


Afisa habari wa TFF Alfred Lucas.
Droo ya michuano ya kombe la FA inataraji kupangwa rasmi hapo kesho kwa timu zote 64 ambazo zimepata nafasi ya kushiriki michuano hiyo ya kombe la shirikisho.
 

Afisa Habari wa TFF,Alfrd Lucas amesema kwamba katika droo hiyo ambayo itapangwaj kesho kuanzia mishale ya saa tatu usiku hawataangalia ukubwa wa timu ama uzito wa mashabiki.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.