}

WATAZAME MAPACHA VIKONGWE ZAIDI WALIOPO TANZANIA.

Na.Geofrey Jacka.


Najua umewahi kuwaona watu waliozaliwa wawili  au watatu (mapacha) Mara nyingi huitwa Doto na Kulwa, lakini hujawahi kuwaona mapacha hao wakifikia uzee wakiwa wapo hai wote wawili.

Leo hii nimekuletea picha ya mapacha wawili vikongwe zaidi waliopo mkoani Mtwara nchini Tanzania ambao wametimiza umri wa miaka 120 wakiwa hai wote wawili.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.