}

MUGABE AACHIA RASMI URAIS WA ZIMBABWE.

Na. Geofrey Jacka.


Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe aliyekaa madarakani kwa miaka 37 hatimaye amejiuzulu Leo hii.

Mugabe amejiuzulu siku chache baada ya Jeshi la nchi hiyo kuchukua hatua zakumuondoa Madarakani kufuatia uamuzi wa Mugabe kutaka kumpa Urais mke wake bi Grace Mugabe.

Kufuatia hatua hiyo yakujiuzulu baada yakushinikizwa kufanya hivyo imeibua shangwe kubwa kwa wananchi wa Zimbabwe waishio sehemu mbalimbali Dunia huku mji mkuu Harare ukifurika shangwe kubwa waliyoiita ni kuondoka kwa mzimu madarakani.
Picha ikionesha wananchi wa Zimbabwe wakiwa katika maandamano ya furaha mjini Harare.(Picha kwa hisani ya Aljazeera).

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.