}

WANANCHI WATAKIWA KUIUNGA MKONO SERIKALI.


WANANCHI wametakiwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika kudhibiti rasimiali za nchi ikiwemo Madini na Gesi.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana  Mwenyekiti wa jukwaa hilo,Magisa Gulatone,amesema kuwa Rais John Magufuli amekua mstari wa mbele katika kutetea  rasilimali zilizopo nchini ikiwemo kuzuia matumizi mabaya yanayopelekea ya rasilimali hizo.

Aidha amesema kuwa, Serikali imekua ikitumia fedha za ndani katika kufanyia miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo wa uzalishaji wa umeme stiegler's Gorge jambo ambalo litaifanya serikali kuweza utekeleza miradi mikubwa kimikakati na kiuchumi.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.