}

Treni ya mwendokasi yazinduliwa rasmi.


Kenya imezindua rasmi huduma za usafiri wa Treni ya kasi kutoka  mkoa hadi mkoa Leo hii.

Treni hii inatarajiwa kuimarisha usafiri hata kwa wakazi wa miji ya nje ya Nairobi kama vile Syokimau, Athi river na Mariakani.

Treni hii ya kasi ilianza kufanyakazi miezi mitatu iliyopita kati ya Mombasa na Nairobi.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.