}

MBEYA CITY YAPELEKA MALALAMIKO YA WAAMUZI BODI YA LIGI

Klabu ya mbeya city imedhamilia kuiandikia barua shirikisho la soka Taznania TFF pamoja na bodi ya ligi juu ya kutoridhishwa na maamuzi ya mwamuzi ambaye alishezesha pambano lao dhidi ya wekundu wa msimbazi simba ambalo walipoteza kwa kufungwa bao moja kwa bila

Shaha Mjanja Afisa habari wa klabu hiyo amesema wao kama uongozi hawakuridhisha kabisa na maamuzi kutoka na na goli lililofungwa na mchezaji Shiza Ramadhani Kichuya Tayari mchezaji huyo alikuwa katika eneo la kuotea OFFSIDE.

Mjanja amesema kuwa hata kama malalimikao hayo yakichukuliwa hatua bado wao watakuwa wapemta hasara lakini hawata hacha kusema au kulalmikia maamuzi hayo kwani hayaleti tija katika mchezo wa soka 

katika hatua nyingine Mjanja amewataka waamuzi kufuata weredi katika kuchezesha mapambano yao kutokana na kuwa wanalipwa  sika kama wanajitolea kuchezesha.

pia amelitaka shirikisho la mpira nchini kuchagua waamuzi sahaihi ambao watakuwa na tija katika kufuata sheria 17 za mchezo wa soka jambo ambalo litasaidia kusogeza mbele soka la Tanzania

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.