}

LULU ATUPWA JELA MIAKA MIWILI KIFO CHA KANUMBA.


Msanii wa filamu za Bongo Elizabeth Michael maarufu LULU amehukumiwa kifungo cha miaka miwili Jela baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia.

Lulu alimuua msanii Steven Kanumba ambaye alikuwa na mahusiano naye ya kimapenzi mnamo mwaka 2012.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.