}

BREAKING NEWS; SEIF KARIE ATOROKA KIKOSINI

Mchezaji kutoka Zanzabar Seif Karie ameondoka kikosini pasipo kutoa taarifa yoyote katika uongozi wa klabu yake na inasemekan mchezaji huyo yuko jijini Dar es salaam 

kocha msaidizi wa klabu ya lipuli Amri said amesema wao kama benchi la ufundi hawana taarifa yoyote juu ya kuondoka kwa mchezaji huyo.

Kocha Said amaesema pamoja na kutokuwepo kwa mchezaji huyo katika kikosi choa hakitakuwa na pengo kuelekea katika mchezo wao dhidi ya Singida United

Aidha kocha amesema kila kitu juu ya mchezaji huyo wamewaachia uongozi wa klabu hiyo na ataakaporejea ndipo watafahamu hatima yake  kwa mchezaji huyo.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.