CAF YAITUPA YANGA UHARABUNI
shirikisho la soka barani afrika CAF limekamilisha upangaji wa ratiba ya michezo ya kombe la shirikisho ambapo Timu ya soka ya Yanga imepangwa kucheza na timu ya MC Algeirs kutoka algeria katika mchezo wa kombe la shirikisho la barani afrika kutafuta mshindi atakaefuzu kutinga katika hatua ya makundi
katibu mkuu wa klabu ya Yanga charles Bonifasi Mkwasa amesema kwa upande wao wameipokea kwa mikono miwili ratiba hiyo hivyo kwa sasa wanajipanga kuhakikisha wanaweza kupata matokeo mazuri katika mchezo wao dhidi ya hao waarabu
mkwasa amasema kwamba ingawa kwa sasa wanajiandaa kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya azam lakini pia watatumia mchezo huo kama maandalizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Algeirs ambapo kutokana na ubora wa waarabu hao wanaamini kupitia maandalizi bora watafanikiwa kusonga katika hatua nyingine kwani mpaka kufikia mchezo huo hata wale walio majeruhi watakuwa wamerejea
michezo mingine ambayo itapigwa tarehe 7-9 April 2017 kwa raundi ya kwanza na raundi ya pili ilatapigwa 14-16 April 2017
TP Mazembe (DR Congo) vs JS Kabylie (Algeria)
AC Leopards (Congo) vs Mbabane Swallows (Swaziland)
FUS Rabat (Morocco) vs MAS Fez (Morocco)
Rangers (Nigeria) vs Zesco (Zambia)
Mounana (Gabon) vs ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire)
RC Kadiogo (Burkina Faso) vs CS Sfaxien (Tunisia)
Bidvest (South Africa) vs Smouha (Egypt)
CNaPS (Madagascar) vs Recreativo do Libolo (Angola)
KCCA (Uganda) vs El Masry (Egypt)
Ports Authority (Gambia) vs Hilal Obeid (Sudan)
Port Louis (Mauritius) vs Club Africain (Tunisia)
Rivers United (Nigeria) vs Rayon Sports (Rwanda)
BYC (Liberia) vs Supersports (South Africa)
AS Tanda (Cote d’Ivoire) vs Platinum Stars (South Africa)
Horoya (Guinea) vs Ittihad Tangier (Morocco)
No comments