}

Tetemeko kubwa latia hofu ya Tsunami.


Tetemeko kubwa la 7.7 limevikimba visiwa vya Solomons nakusababisha kutokea mawimbi makubwa yatakayopelekea Tsunami.

Sehemu zitakazo athirika ni pwani ya Solomons, Papau, Guinea, na Nauru, nazitaendelea kuathirika kwa kadri masaa yanavyosogea kwamujibu wa kituo cha uchunguzi wa hali ya hewa cha Pasifiki.

Tetemeko la 7.7 limetokea km 70 sawa na maili 43 katika pwani ya Solomons.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.