}

Tanzania yaadhimisha miaka 55 ya Uhuru.


Ikiwa ni tarehe 9 desemba 2016 Tanzania inaadhimisha miaka 55 tangu ipate Uhuru wake mnamo mwaka 1961.

Sherehe za Leo zinafanyika Kitaifa jijini Dar es salaam katika uwanja wa Uhuru sherehe ambayo imehudhuriwa na viongozi wa Serikali akiwamo Rais Wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Jacka Bantu Media kupitia Kituochahabari.blogspot.com kinawatakia wa Tanzania maadhimisho mema yasiku yaleo, pia tunaahidi kukuletea habari mbalimbali zinazohusu sherehe za Leo.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.