}

Tazama picha saba 7 za maandamano wananchi wa Kongo kumshinikiza Rais Joseph Kabila aachie Ngazi.

Hali ya amani imezidi kuzorota nchini Congo ya DRC, ambapo wananchi wameshindwa kuvumilia uvunjifu wa katiba anaoufanya Rais Joseph Kabila.

Wananchi nchini humo Leo wameingia mtaani kufanya maandano yakushinikiza Rais Kabila kuachia ngazi nakupisha uchaguzi mwingine ufanyike nakumpata Rais mwingine.

Tazama picha hizi hapa uone hali ilivyokuwa nchini Congo.









No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.