}

Maghembe apiga marufuku Usafirishaji Magogo.

Na. Anaseli Stanley Macha.


Waziri wa maliasili na utalii Mh. Jumanne Maghembe amepiga marufuku usafirishaji haramu wa magogo nje ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katika mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya maliasili na utalii Mh. Maghembe amesema magogo hayo yatengenezwe hapa nchini yangetengeneza ajira kwa vijana wanaozurura mitaani.

Mh. Maghembe amezitaka sekta binafsi na kaya mbalimbali kujitolea katika kupanda miti kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla ili kukuza pato la taifa.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.