}

Joe Hart: Manchester city hawakunitaka hivyo sitarudi tena.

Mwanzoni mwa msimu huu Joe Hart alipelekwa Torino kwa mkopo licha ya kujituma kwake kupigania nafasi katika kikosi cha timu hiyo ya Man city.
Vyanzo vinasema kuwa Joe Hart hakutakiwa na kocha Pep Guardiola na uongozi wake na ndio waliomsababishia kutolewa kwa muda kabla yeye mwenyewe kuamua moja kwa moja.

Joe Hart amesema "Hii ni Mara ya pili nakwenda nje kwamkopo katika msimu, na naamini sijaletwa hapa ili kuangaliwa nini nafanya au kuonwa maendeleo yangu, Bali nimeletwa kwasababu hawakunitaka"

Ameongeza kwakusema "Kwajinsi ninavyoangalia hapa, nataka nifanye kile ambacho naweza kuwafanyia Torino kwa kadri yauwezo wangu, siwafikirii tena Man city.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.