}

KILIMANJARO STARS KUUANA NA ZANZIBAR HEROES KESHO MBELE YA BALOZI.

Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kesho Alhamis Desemba 7, 2017 inatupa karata yake ya pili kwenye michuano ya CECAFA dhidi ya Zanzibar Heroes ya Zanzibar kwenye mchezo wa kwanza utakaoanza saa 8.00 mchana kwenye Uwanja wa Kenyatta, Machakos.

Kilimanjaro stars ilitoka sare ya bila kufungana na Libya katika mchezo wake wa kwanza uliopigwa Jumapili Desemba tatu, wakati Zanzibar heroes iliipiga Rwanda goli tatu katika mchezo wake wa kwanza.
Izi hapa baadhi ya picha za mazoezi ya Kilimanjaro stars waliyofanya Leo hii.






No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.