}

ZIMBABWE YAJIONDOA MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE CUP.

Na.Geofrey Donatus Jacka.

Muda mchache baada ya ratiba ya michuano ya CECAFA CHALENJI CUP kutangazwa, Zimbabwe imejitokeza nakutangaza kujitoa kwenye Michuano hiyo.

Zimbabwe iliyokuwa imepangwa kundi B, na nchi ya Burundi, Ethiopia, Sudani kusini, na Uganda imejitoa kwakile walichodai kuwa nchini Kenya ilikopangwa kufanyika michuano hiyo hakuna amani kwa sasa.

Michezo ya kundi B imepangwa kucheza Desemba 4 mwaka huu huku Tanzania ikiwa kundi A ambapo itacheza na Libya Desemba 3.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.