}

Mcheza kandanda wa zamani George Weah awania Urais.


Chama cha mgombea wa urais wa Liberia George weah, kimesema kitaheshimu uamuzi wa kuchelewesha duru ya pili ya uchaguzi, lakini kimetoa wito wa mchakato wa uchaguzi uandaliwe kwa wakati.

Weah, mchezaji wa zamani wa kandanda alikuwa anapambana na makamu wa rais wa Liberia , Joseph Boakai katika duru ya pili ya uchaguzi wa u rais uliokuwa umepangwa kufanyika jumanne iliyopita.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.