}

MAHAKAMA YA ICC YAANZA RASMI UCHUNGUZI WA UHALIFU DHIDI YA BINADAMU NCHINI BURUNDI.


Majaji wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC, wameidhinisha kuanza kwa uchungizi kamili kuhusu makosa ya uhalifu dhidi ya ubinaadamu nchini Burundi ambako watu wapatao 1200 waliuawa katika ghasia zilizozuka mwaka 2015.

Uamuzi huo ulifikiwa octoba 25, siku mbili baada ya Burundi kuwa nchi ya kwanza kujiondoa rasmi katika mahakama ya ICC, lakini uliwekwa kuwa siri hadi Leo.

Chanzo-DW.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.